Wednesday 16 April 2014

Bado hali ni tete katika jiji la dar es salaam,kutokana na mvua zinazonyesha kuendelea kuaribu Miundo mbinu,picha ni eneo la kivule pembezoni mwa jiji la dar es salaam,wananchi wakiwa wanafanya jitihadaa mbadala baada ya daraja kwenda na maji.
.